- 221 viewsDuration: 3:18Teknolojia ya upandikizaji wa mbegu kwa mifugo ni jambo ambalo linazidi kushika kasi nchini. Kwa kutumia mbinu hiyo, Wafugaji wanaongeza maradufu uzalishaji, kupunguza gharama na kuboresha ubora wa nyama. Teknolojia hii ambayo hapo awali ilitumiwa na wafugaji wenye mifugo wengi, sasa inatumiwa hata na wafugaji wadogo. Katika makala ya Kilimo Biashara