Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya wanafunzi wa Gredi 10 bado hawajarudi shuleni licha ya mpito wa 100%,

  • | Citizen TV
    293 views
    Duration: 3:01
    Licha ya serikali kutoa hakikisho mara nyingi kwamba Wizara ya Elimu imefanikisha mpito wa asilimia 100 ya wanafunzi wa Gredi ya 10, bado kuna baadhi ya wanafunzi waliokwama nyumbani kutokana na changamoto za kifedha. Uchunguzi wa runinga ya Citizen TV unaonyesha kuwa hata wanafunzi waliokwenda shuleni kufuatia agizo la Rais la kusajiliwa bila hata karo, sasa hawawezi kurudi baada ya mapumziko ya katikati ya muhula