Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Everlyne Amagove yafuatilia kifo cha mwanao aliyefariki nchini Oman

  • | Citizen TV
    4,735 views
    Duration: 3:03
    Familia ya Everlyne Amagove inatafuta ukweli kuhusu kifo cha mwana wao aliyefariki nchini Oman, alikokuwa amekwenda kufanya kazi. Familia yake inataka vyombo vya serikali kuchunguza ni vipi Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 33 alisafirishwa nje na wakala licha ya kuwa katika hali mbaya ya afya, ikitilia shaka stakabadhi zinazoonyesha kuwa Everlyne alifariki kutokana na mshtuko wa moyo