Skip to main content
Skip to main content

Wawakilishi wodi wa Azimio Nairobi wapinga njama ya kumbandua Gavana Sakaja

  • | Citizen TV
    1,447 views
    Duration: 1:27
    Baadhi ya wawakilishi wodi wa muungano wa azimio kaunti ya Nairobi, wakiongozwa na kiongozi wa wengi Peter Imwatok katika kaunti ya Nairobi, wamepinga mipango ya baadhi ya wawakilishi kuanza mchakato wa kumbandua gavana Johnson Sakaja. Wawakilishi hawa sasa wakidai njama fiche ya kumfurusha Sakaja, hasa baada ya kutia saini ushirikiano wa kusimamia Nairobi na serikali ya kitaifa. Wawakilishi hao wamesisitiza hawatalubali kubanduliwa kwa Sakaja wakisema watahakikisha Sakaja anakamilisha muhula wake