4 Mar 2026 7:51 pm | Citizen TV 1,887 views Duration: 42s Viongozi wa vuguvugu la Linda Mwananchi wamepinga mikakati ya kusajili jina hilo kuwa chama cha Kisasa. Katika Barua kwa msajili wa vyama vya kisiasa John Cox Lorionokou, Wanasiasa hao wamesema kwamba