Skip to main content
Skip to main content

Meli ya Iran yazamishwa, Marekani na Israel wakiendelea na mashambulizi

  • | BBC Swahili
    32,016 views
    Duration: 6:54
    Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth amesema kwamba Marekani imezamisha meli ya kivita ya Iran ambayo ilidhaniwa kuwa salama. Meli hiyo kwa jina IRIS Dena ilizama katika Bahari ya Hindi, huku takriban mabaharia 140 waliokuwa ndani yake wakiwa hawajulikani walipo. Hii ni katika siku ya 5 ya mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran. #DiraYaDuniaTV