WASHINGTON BEREAU- MFUMUKO WA BEI UNAVYOATHIRI BIASHARA NDOGO NDOGO MAREKANI

  • | VOA Swahili
    330 views
    - - - -Msimu muhimu wa ununuzi wa bidhaa za siku kuu ambao kwa kawaida hapa Marekani huanza wikiendi baada ya siku kuu maarufu ya kumshukuru mungu yaani Thanksgiving, kuelekea krismasi, na hatimaye mwaka mpya. Hata hivyo mambo huenda yakawa tofauti kidogo kutokana na kuwa wanunuzi wengi wa bidhaa huenda wanapitia hali ngumu ya kupanda kwa gharama ya maisha kutokana na masuala kama vile janga la virusi vya corona pamoja na vita vya Ukraine vinavyoendelea, miongoni mwa mambo mengine.#voaswahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.