Watahiniwa wa KPSEA na KCPE wako tayari

  • | K24 Video
    77 views

    Wanafunzi takribani milioni 3 wa darasa la nane na gredi ya sita leo wamefanya maandalizi ya mitihani ya kitaifa ya kepsea na KCPE itakayokuwa wiki ijayo. Katika maandalizi hayo, lililoibuka ni kuwa idadi ya watahiniwa ni zaidi ya nafasi zilizoko katika shule. Utayari wa wanafunzi kutoka maeneo tofauti humu nchini.