Maandalizi ya mitihani ya kimataifa yakamilika

  • | KBC Video
    40 views

    Matayarisho yote ya mtihani wa kitaifa wa darasa la sita wa KPSEA yamekamilika,huku takriban watahiniwa milioni tatu wakitarajiwa kuanza mtihani huo , siku ya jumatatu juma lijalo.Watahiniwa hao leo walifanya maandalizi ya mtihani huo utakaoanza tarehe 28 hadi 30 mwezi huu.Usalama pia umeimarishwa kote nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #miyihaniyakimataifa #News