Nyumba za gharama nafuu | Mradi wa nyumba Homa Bay kuanza juma lijalo

  • | KBC Video
    70 views

    Ujenzi wa nyumba za gharama nafuu katika kaunti ya Homabay unatarajiwa kuanza wiki ijayo. Waziri wa ardhi na nyumba, Zakariah Njeru amesema awamu ya kwanza ya ujenzi wa nyumba-110 inatarajiwa kukamilika mwaka mmoja ujao na mradi huo utatekelezwa sambamba na ujenzi wa soko la kisasa la samaki ili kupiga jeki uchumi wa kaunti hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #nyumbazagharamanafuu #News #HomaBay