Tamasha ya 20 ya kitamaduni, Lamu

  • | KBC Video
    19 views

    Kaunti ya Lamu ni kisiwa kinachofahamika kwa utamaduni wake wa kihistoria, vifaa pamoja na itikadi za kale. Wakati wa tamasha ya 20 ya kitamaduni ya kila mwaka kwenye kaunti hiyo,wageni walipata fursa ya kujifunza kuwa lugha ya Kiswahili inayotumika na wakazi wa kisiwa hicho zikiwemo lugha za Kiamu, Pate na Kisiyu. Lugha ya Kiamu ndiyo hutumika zaidi kwenye kisiwa hicho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #utamaduni #News #Lamu