- 389 viewsKwenye mtaa maarufu mjini Dakar jezi feki za Senegal zinauzwa na wengi huvutiwa kuzinunua wakati huu wa michuano ya Kombe la Dunia. Katika repoti hii suala la kudhibiti jezi hizi bandia linatolewa maelezo. Endelea kumsikiliza mwandishi wetu akieleza kwa muhtasari. #mtaa #senegal #dakar #biashara #jezibandia #mashabiki #beinafuu #voa #voaswahili #doha #Qatar #voaworldcup2022 #fifaworldcup #worldcup #qatar #qatar2022 #fifa #football #messi #soccer #ronaldo #futbol #futebol - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Kombe la Dunia 2022: Jezi feki zaendelea kuuzwa kwa mashabiki Senegal
- - LIVE|| TV47 WIKENDI ››
- - LIVE| TV47 NEWS NOW ››
- 5 May 2024 - In June 2023, Kenya’s national debt had crossed the Ksh10 trillion mark rising to Ksh10.9 trillion in November 2023.
- 5 May 2024 - As the country continues to experience heavy rainfall, most roads have been flooded hampering transport and disrupting daily activities.
- 5 May 2024 - Ferry services were suspended as a result of Cyclone Hidaya.
- 5 May 2024 - More families out in the cold amid fears flood crisis is getting worse
- 5 May 2024 - Ruto pushes House to entrench CDF in law
- 5 May 2024 - Boy in agony after he's beaten, burnt by father
- 5 May 2024 - Doctors reject return-to-work plan
- 5 May 2024 - Ruto allies helped cement the idea of a silent handshake, asserting Raila must toe his line. Amisi faults Kenya Kwanza for thinking their support for Raila would buy his silence.
- 5 May 2024 - Kenya's Olympic dreams go up in smoke
- 5 May 2024 - It comes a year after he wed wife Rebecca at a private ceremony in Kericho on May 6, 2023.