Rais William Ruto amemhakikishia gavana wa Nairobi Sakaja kwamba atamuunga mkono

  • | K24 Video
    25 views

    Rais William Ruto amemhakikishia gavana wa nairobi Johnson Sakaja kwamba atamuunga mkono katika kuhakikisha vilabu vya usiku katika maeneo ya makazi ya watu vinafungwa. Ruto ameyasema haya hii leo wakati wa uzinduzi rasmi wa kituo cha wasambazaji wa vyakula cha twiga cha tatu City akiongeza kuwa kuna haja ya kuufanya mji wa Nairobi uwe bora kwa wakazi wote. Hatua hiyo imeibua hisia mseto miongoni mwa wanaofanya biashara hiyo