- 40,208 viewsDuration: 1:46Je, Iran inaweza kweli kushinda vita dhidi ya Marekani na Israel? Ukweli ni kuwa kijeshi, Iran ina nafasi ndogo sana. @ahmedbahajjofficial anatuelezea #bbcswahili #israel #somali subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw