23 Aug 2025 7:15 pm | Citizen TV 864 views Duration: 1:16 Kanisa katoliki nchini limemtaka Rais William Ruto kuwachukulia hatua wabunge na maseneta wanaodaiwa kugeuza bunge kuwa kitovu cha ufisadi, la sivyo kauli zake za kupambana na ufisadi zitabaki kuwa maneno matupu