23 Aug 2025 7:07 pm | Citizen TV 4,495 views Duration: 3:37 Rais William Ruto amewaongoza wakenya kupongeza Harambee Stars kwa hatua waliyopiga katika kinyanganyiro cha chan akisema kuondolewa kwao kwenye mechi ya robo fainali sio mwisho wao kwani wamejizatiti kuweka taifa mbele