Raila Odinga asisitiza mkutano wa Jacaranda utafanyika na si Maandamano

  • | West TV
    63 views
    Vinara wa Azimio la Umoja wamejitokeza na kusisitiza kuwa mkutano ulioratibiwa kuandaliwa katika uwanja wa Jacaranda utaendelea. Hata hivyo waliweka wazi kuwa ni mkutano ila sio maandamano