Waumini wa Kanisa Katoliki na makanisa mengine washiriki katika maandamano ya amani DRC

  • | VOA Swahili
    2,621 views
    Maelfu ya waumini wa Kanisa Katoliki na makanisa mengine nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameungana katika maandamano ya amani ili kupinga vita vinavyoendelea mashariki ya nchi hiyo. - Matumaini ya Afrika katika Kombe la Dunia yabakia kwa Morocco baada ya Simba wa Teranga kutoka Senegal kutolewa na Uingereza. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.