Familia ya Njoki Muchemu aliyeuawa na mumewe marekani yamtaja kuwa mtu mwepesi aliyeipenda familia

  • | NTV Video
    698 views

    Familia ya Njoki Muchemi, mkenya aliyeuawa na mumewe pamoja na watoto wake wawili, nchini marekani sasa imemtaja kuwa mtu mwepesi aliyeipenda familia yake na hakuonyesha dalili zozote za kuwa kwenye ndoa yenye dhiki. Kakake mdogo wa Njoki Moses Muchemi alielezea kisa hicho kuwa cha kushtusha, kwani kilitokea mwezi mmoja tu baada ya wanandoa hao na watoto wao kuhudhuria mazishi ya baba yao kaunti ya Kirinyaga.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya