Familia 21 kutoka kijiji cha Musoso huko Kangema , kaunti ya Muranga, zilizohamishiwa kambi moja ya muda wanaishi kwa wasiwasi baada ya shamba la mababu wao kuathiriwa na nyufa kubwa. Familia hizo ambazo zimeishi katika kambi hiyo ya muda zilizopewa na kanisa la ACK Kiairathe kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja zimetoa wito kwa serikali izitafutie ardhi salama ili ziweze kujenga nyumba na kuanza upya maisha.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive