25 Aug 2025 11:34 am | Citizen TV 203 views Duration: 2:10 Eneo la North Rift kwa miongo kadhaa limekuwa likijulikana kwa matukio ya utovu wa usalama, lakini sasa wakaazi wa kaunti sita wameamua kuungana pamoja kuimarisha amani