- 151 viewsDuration: 2:50Kwa kawaida, jumapili huwa siku ya ibada ambapo waumini hujumuika kwenye makanisa mbalimbali kwa ibada ambazo huendeshwa kwa lugha mbalimbali. Mambo hata hivyo yamekuwa tofauti kwa waumini walemavu katika kanisa la PCEA Kariabangi ambako leo wamefanya ibada ya kipekee