Wanaharakati wa mazingira wanaitaka serikali kusitisha matumizi ya nishati ya visukuku na badala yake kuwekeza katika mipango ya kawi endelevu.Wakizungumza jijini Nairobi, wadau hao walisema kwamba bara Afrika linaathirika pakubwa na athari za mabadiliko ya tabianchi, licha ya kuchangia kwa kiasi kidogo katika utoaji wa gesi zenye madhara duniani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive