Tiba za kienyeji na kitamaduni zatatiza matibabu ya ugonjwa wa kifua kikuu

  • | KBC Video
    28 views

    Itikadi za kijamii na kitamaduni kuhusiana na matibabu ya ugonjwa wa kifua kikuu pamoja na kutafuta tiba za kienyeji badala ya kwenda hospitalini zinasalia kuwa tatizo kubwa katika juhudi za kuwatibu wagonjwa wa kifua kikuu katika kaunti ya Kwale. Watalamu wa afya hata hivyo wamesema wanafanikiwa kukabiliana na unyanyapaa dhidi ya waathiriwa wa ugonjwa huo kupitia uhamasisho wa mara kwa mara katika kaunti hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #tb #darubini