Michezo ya walemavu katika kaunti ya Machakos

  • | Citizen TV
    165 views

    Watu wanaoishi na ulemavu katika kaunti ya Machakos sasa wanalenga kufufua michezo ya walemavu katika kaunti hiyo...Hii ni baada ya kuanzisha mchakato wa kuchangisha pesa za kununua vifaa vya michezo ya walemavu