Skip to main content
Skip to main content

Makovu ya maandamano | Majeruhi wa maandamano bado wamelazwa miezi miwili baadaye

  • | Citizen TV
    1,230 views
    Duration: 2:22
    NI MIEZI MIWILI SASA TANGU MAANDAMANO YA JUNI 25, HUKU BAADHI YA WALIOWACHWA NA MAJERAHA WAKISALIA HOSPITALINI NA MAKOVU YA RISASI. KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA KENYATTA HAPA NAIROBI, VIJANA SABA WALIOJERUHIWA KWENYE MAANDAMANO hayo WAMESALIA HOSPITALI HUKU WAKISEMA HAWANA MATUMAINI YA KUPATA HAKI