Familia moja yaomba msaada wa Shs.5M ili mwanao afanyiwe upasuaji wa kuwekewa uboho wa mfupa

  • | KBC Video
    60 views

    Familia moja katika eneo la Lurambi , kaunti ya Kakamega , inataka msaada wa kifedha kutoka kwa wakenya wa heri njema kuwawezesha kuchangisha shilingi milioni tano ili mtoto wao wa miaka 11 afanyiwe upasuaji ili kuwekewa uboho wa mfupa . Bradley Oluoch anaugua saratani ya damu na anatarajiwa kufanyiwa upasuaji huo nchini India katika muda wa miezi miwili ijayo . Opicho Chemtai na taarifa hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #medicalappeal #News