- 222 viewsDuration: 1:36Stacy Mososi, mwanafunzi wa gredi ya tano amerejea nyumbani baada ya kuwa wa pekee kuwakilisha eneo la Nyanza kwenye michezo ya kandanda ya jumuiya ya afrika mashariki. Stacy amepokewa katika kijiji chao cha Bonyawanya huko Mugirango Kusini kwa mbwembwe na sherehe wakimtaja kama aliyeiletea kaunti ya Kisii sifa nzuri kimataifa