27 Aug 2025 7:37 pm | Citizen TV 792 views Duration: 1:46 Zoezi la kufukua miili katika kijiji cha Kwa Binzaro kaunti ya kilifi limeendelea leo huku miili Sita zaidi ikifukuliwa kutoka kwenye kaburi nne. Zoezi la leo likifikisha idadi ya maiti iliyofukuliwa kufikia 25