- 284 viewsMkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Fedha, IMF, Kristalina Georgieva yuko nchini Rwanda kwa ziara ya siku tatu. Akiwa mjini Kigali amekutana na mawaziri wa fedha pamoja na magavana wa benki kuu za Rwanda, Uganda, Kenya na Sudan Kusini. Mkurugenzi Mkuu huyo amesema kwamba shirika lake liko tayari kusaidia miradi mikubwa ya maendeleo kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa. Amesema ili mataifa haya yaweze kufanikiwa kuna umuhimu wa kuandaa miradi mizuri ambayo inaweza kupata ufadhili hasa kwa kuzingatia kuwa pesa iliyopo haitoshi. #mkurugenzi #shirikalakimataifalafedha #imf #rwanda #afrikamashariki #voa #voaswahili #rwanda - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
IMF yatoa wito kwa mataifa ya Kiafrika kuandaa miradi inayoweza kupata ufadhili
- - China ››
- - LIVE| NEWS NOW ››
- 19 May 2024 - Orange Democratic Movement (ODM) leader Raila Odinga has intervened to calm the growing tensions and divisions within the party in Migori County. During his visit to the county for the installation ceremony of the Seme Council of Elders chairman in Kwa…
- 19 May 2024 - President Ruto will be only the sixth head of state—after South Korea, France, India, Australia and Japan—to be accorded a State visit during the Biden presidency.
- 19 May 2024 - Jailed Iranian Nobel Peace Prize winner Narges Mohammadi says she is facing a new trial after she accused the s*************s of s****lly a*****ting women. In a message from Evin prison where she is being held, Ms Mohammadi said the trial relates to an…
- 19 May 2024 - The visit is primed with symbolic significance.
- 19 May 2024 - Reading Time: 2 minutes Here is what you need to know to get up to sp*ed with today’s happenings. Ruto flies to US President Wi*liam […]
- 19 May 2024 - "I believe he won a few of the rounds, but I won the majority," a defiant Fury said in the ring.
- 19 May 2024 - He reminded political leaders to shun using blackmail as a way to survive in politics
- 19 May 2024 - Nothing delights of our politicians more than a good disaster photo op
- 19 May 2024 - Office of retired president crippled with budget freezes that Uhuru's staff attribute to politics of retribution.
- 19 May 2024 - Experts call on government to focus on growing the GDP.