- 278 viewsMkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Fedha IMF, Kristalina Georgieva yuko nchini Rwanda kwa ziara ya siku tatu. Akiwa mjini Kigali amekutana na mawaziri wa fedha pamoja na magavana wa benki kuu za Rwanda, Uganda, Kenya na Sudan Kusini. Sikiliza nasaha zake kwa nchi za Kiafrika: "Kwa kifupi hakuna pesa za umma za kutosha kufadhili hatua za kurekebisha na kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa. Tunazungumzia trilioni ambazo ni muhimu na tunajadili mabilioni ya fedha zilizopo. Bila ya kutumia mabilioni kutengeneza mazingira mazuri kwa uwekezaji binafsi, hatuwezi kufikia, hatutafika popote. Wakati tumekaa katika chumba hiki sisi bado tumegawanyika, na nakiri, hivi ndivyo ilivyo. Benki ya Dunia inafanya hiki, Benki ya Maendeleo ya Afrika inafanya kile, kila mmoja ana mradi, yote hiyo ni mizuri sana. Lakini haisongi mbele," #imf #shirikalafedhalakimataifa #mkurugenzimkuu #kristalinageorgieva #kigali #rwanda #magavana #mawaziriwafedha #voa #voaswahili #dunianileo #benkiyadunia #benkiyamaendeleoyaafrika - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
IMF yaeleza ufadhili wa urekebishaji na upunguzaji athari za mabadiliko ya hali ya hewa
- - LIVE| NEWS NOW ››
- 19 May 2024 - Restaurants will be required to pay a minimum of Ksh9,000 for the registration.
- 19 May 2024 - Orange Democratic Movement (ODM) leader Raila Odinga has intervened to calm the growing tensions and divisions within the party in Migori County. During his visit to the county for the installation ceremony of the Seme Council of Elders chairman in Kwa…
- 19 May 2024 - President Ruto will be only the sixth head of state—after South Korea, France, India, Australia and Japan—to be accorded a State visit during the Biden presidency.
- 19 May 2024 - Jailed Iranian Nobel Peace Prize winner Narges Mohammadi says she is facing a new trial after she accused the s*************s of s****lly a*****ting women. In a message from Evin prison where she is being held, Ms Mohammadi said the trial relates to an…
- 19 May 2024 - The visit is primed with symbolic significance.
- 19 May 2024 - Reading Time: 2 minutes Here is what you need to know to get up to sp*ed with today’s happenings. Ruto flies to US President Wi*liam […]
- 19 May 2024 - "I believe he won a few of the rounds, but I won the majority," a defiant Fury said in the ring.
- 19 May 2024 - He reminded political leaders to shun using blackmail as a way to survive in politics
- 19 May 2024 - Nothing delights of our politicians more than a good disaster photo op
- 19 May 2024 - Office of retired president crippled with budget freezes that Uhuru's staff attribute to politics of retribution.