26 Aug 2025 7:31 pm | Citizen TV 884 views Duration: 1:12 Miili sita zaidi imefukuliwa katika kijiji cha Kwa Binzaro kaunti ya Kilifi na kufikisha idadi ya maiti zilizofukuliwa kuwa 19. Aidha, Jumla ya viungo 18 kufikia sasa vimepatikana kwenye zoezi la ufukuzi linaloendelea