- 54,141 viewsDuration: 1:28Raia wa Tanzania leo wameanza kurejelea shughuli zao za kawaida, baada ya serikali kuondoa vikwazo vya usafiri na huduma za intaneti kurejeshwa. - Familia mbali mbali zimetumia siku hii ya kwanza kuanza kuwatafuta ndugu zao ambao hawajalukani waliko tangu siku ya jumatano wiki iliyopita, baada ya maandamano kulipuka wakati wa shughuli ya kupiga kura katika maeneo kadhaa nchini Tanzania. - BBC imepata familia moja ambayo tayari imewapoteza ndugu zao wawili na wawili wanauguza majeraha ya risasi katika hospitali ya kitaifa ya Muhimbili. - Tumeficha majina yao kwa sababu ya usalama wao. - - - #tanzania #uchaguzi2025 #maandamano #bbcswahili #foryouSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw