- 20,741 viewsDuration: 3:55Aliyekuwa Gavana wa Migori Zachary Okoth Obado, msaidizi wake Michael Oyamo na aliyekuwa karani wa Kaunti ya Migori Caspal Obiero wamepatikana na hatia ya kumuua mwanafunzi wa chuo kikuu Sharon Otieno mwaka wa 2018. Akitoa uamuzi wake, Jaji wa Mahakama Kuu Cecilia Githua alisema upande wa mashtaka umethibitisha bila shaka kwamba watatu hao walishirikiana kupanga na kutekeleza mauaji hayo ya kikatili.