Walimu wa tabia mbaya wanaswa

  • | Citizen TV
    718 views

    Polisi katika eneo la Nyamache kaunti ya Kisii wanawazuilia walimu sita walionakiliwa kwenye kanda ya video wakiwashurutisha wanafunzi wanne, wa kiume kuigiza vitendo vichafu