28 Aug 2025 10:09 am | Citizen TV 452 views Duration: 2:29 Wazazi Katika shule ya msingi ya Mabasi Katika eneo bunge la Bureti Kaunti ya Kericho wanamtaka mwalimu mkuu wa shule hiyo kuondoka kwa madai ya uongozi mbaya