Miungano ya vyuo vikuu vya umma imeitaka serikali kuondoa taasisi za elimu ya juu

  • | K24 Video
    79 views

    Miungano ya vyuo vikuu vya umma inayowakilishwa na uasu, kusu, na kudheiha imeitaka serikali kuondoa mara moja taasisi za elimu ya juu kutoka kwa mswada wa ubinafsishaji wa shirika la serikali, 2023, ikisema kila Mkenya ana haki ya kupata elimu, na kupinga zaidi wazo la ubinafsishaji wa taasisi hizo. Wakiongozwa na katibu mkuu wa KUSU, Dkt Charles Mukhwaya, miungano hiyo imesema kuwa mswada unaopendekezwa wa ubinafsishaji wa vyuo vikuu ni tishio kwa haki ya elimu nchini. Haya yanajiri huku walimu wa chekechea wakikataa hatua ya SRC kupunguza mshahara wao hadi shilingi.