Tishio la kuhamishwa katika eneo bunge la Changamwe, kaunti ya Mombasa.

  • | KBC Video
    11 views

    Takriban familia 300 zinazoishi katika kijiji cha Salama, wadi ya Airport kwenye eneo bunge la Changamwe, kaunti ya Mombasa, zinaishi kwa hofu ya kufurushwa kwenye kipande cha ardhi wanachodai kumiliki. Kulingana na wakazi, kuna watu waliokodishwa ambao walianza kubomoa nyumba zao siku ya jumapili lakini wakafanikiwa kukabiliana nao. Kipande hicho cha ardhi ni cha ekari 50, karibu na bandari ya Mombasa ambacho kinakadiriwa kuwa ya dhamani ya shilingi milioni 150.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News