Kampeni ya mtoto asome yazinduliwa rasmi katika kaunti ya Mombasa

  • | Citizen TV
    183 views

    Kampeni ya mtoto asome imezinduliwa rasmi katika kaunti ya Mombasa. Wadau wa elimu, viongozi, pamoja na waakilishi kutoka asasi za serikali wametaka juhudi kufanywa ili kuwasaidia watoto kutoka jamii maskini na waliofanya vyema kusaidiwa katika kufadhili masomo yao.