Mratibu wa elimu Nelson Sifuna awarai wazazi kusubiri barua rasmi za kujiunga na kidato cha kwanza

  • | Citizen TV
    256 views

    Mratibu wa elimu eneo la Nyanza Nelson Sifuna sasa ametoa tahadhari kwa wazazi, kusubiri hadi pale watakapopata barua rasmi za kujiunga na kidato cha kwanza, ili kupunguza mvutano kuhusu usajili wa wanafunzi. Na kama anavyoarifu Laura Otieno, Sifuna pia alibaini kuwa eneo la Nyanza limenakili asilima 79 ya wanafunzi waliojiunga na gredi ya saba.