Shirika la FAO na chuo kikuu cha Egerton laanzisha mradi wa upanzi wa Njugu eneo la Turkana

  • | Citizen TV
    510 views

    Shirika la chakula ulimwenguni FAO kwa ushirikiano na chuo Cha Egerton na Halmashauri ya unyunyizaji maji mashamba ,zimeanzisha mradi wa upanzi wa Njugu katika maeneo ya Katilu na Loima huko Turkana. Wakulima wanahimizwa wakumbatie Kilimo hiki kilicho na faida ya haraka ikilinganishwa na mahindi na mtama.