Majaribio ya kimatibabu ya awamu ya kwanza ya dawa ya kuzuia jeni ya saratani yameanza nchini

  • | K24 Video
    28 views

    Majaribio ya kimatibabu ya awamu ya kwanza ya dawa ya kuzuia jeni ya saratani yameanza nchini Kenya, huku mpokezi wa kwanza wa dawa hiyo akiwa ni raia wa Uganda aliyegunduliwa na saratani ya utumbo mpana. Uwasilishaji wa dawa hii ni wa kwanza barani Afrika, na unatokea siku chche tu baada ya mazungumzo ya utafiti kuboreshwa kupewa kipaumbele katika kongamano la saratani.