Uhusiano wa Kenya na Eritrea kuimarishwa

  • | KBC Video
    29 views

    Kenya na Eritrea zimeazimia kuondoa milele masharti ya Visa kwa raia wao kuzuru nchi hizo mbili katika hatua ambayo inatarajiwa kuboresha zaidi uhusiano wa kibiashara na mawasiliano kati ya nchi hizo mbili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News #Eritrea #uhusianowakitaifa