Masaibu ya Matiang'i | Serikali yakanusha madai ya kuvamia makao ya Matiang'i

  • | KBC Video
    260 views

    Aliyekuwa waziri wa usalama Dkt. Fred Matiang'i amepata dhamana ya kuwachiliwa endapo atakamatwa kutoka kwa mahakama kuu. Jana usiku alidai kuwa nyumba yake ilizingirwa na maafisa wa usalama walionuia kumkamata kwa sababu zisizojulikana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #fredmatiangi #News #uvamizi #serikali