28 Aug 2025 8:04 pm | Citizen TV 808 views Duration: 1:21 Baada ya mafanikio ya timu ya taifa ya harambee stars kufika robo fainali ya mashindano ya CHAN, serikali imeelekeza juhudi kwa maandalizi ya kombe la mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027