28 Aug 2025 8:00 pm | Citizen TV 436 views Duration: 1:26 Kamati ya afya ya bunge la kitaifa imeanza ziara katika kaunti ya Uasin Gishu leo, kufanya uchunguzi kuhusu sakata ya biashara wa figo kaunti hiyo.