28 Aug 2025 7:57 pm | Citizen TV 474 views Duration: 3:17 Licha ya Kaunti ya Samburu kurekodi ongezeko la visa vya dhulma za kijinsia, idadi kubwa ya wakazi ambao ni wafugaji huwa hawaripoti visa hivyo wala kuwasilisha kesi hizo mahakamani