28 Aug 2025 7:54 pm | Citizen TV 1,133 views Duration: 1:05 Rais William Ruto ametangaza kuwa zoezi la kuwasajili vijana kwenye idara ya NYS itaimarishwa kutoka elfu kumi na nane hadi laki moja katika muda wa miaka mitatu ijayo