Skip to main content
Skip to main content

Miili saba zaidi yafukuliwa Kwa Binzaro, Kilifi, idadi yafikia 32

  • | Citizen TV
    914 views
    Duration: 1:21
    Miili saba zaidi imefukuliwa katika kijiji cha Kwa Binzaro kaunti ya Kilifi hii leo na kufikisha idadi ya maiti zilizofukuliwa kufikia sasa kuwa 32