28 Aug 2025 1:59 pm | Citizen TV 191 views Duration: 48s Red Bonde FC waliibuka mabingwa kwa kuilaza Shammah FC bao 1–0 na kutwaa kombe la Tyno Rotino katika uwanja wa kapkoris, kapenguria.